Najua kunamfanya biashara mpya ambaye ndiye anayenunua korosho kwasasa!
Hofu yangu ni kama kweli mfanya biashara huyo anajiamini na biashara yake!
1. kama biashara anayoifanya anategemea kupata faida kwa nini anaogopa kununua mzigo wa korosho kutoka nje?
2. Je mfanya biashara huyo anauhakika na soko atakako kwenda kuuza mzigo huo?
Nilidhani kama mfanyabiashara huyo anamtaji wa kutosha na bidhaa zikapatikana kwa wingi kutoka kokote kule, hiyo ndiyo ingekuwa furaha yake!!!
Naomba kueleweshwa hapo!!!