ndanda masasi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 772
- 1,177
Kama unataka upate faidi ambayo infinity. Nunuwa korosho ambazo hazijabanguliwa kilo1 sh 2500/.Alafu wewe unazifanyia processing processing na kuziuza.Utauza kwa bei ya sh 20000/ per kg.Hiyo elfu 20 kwa mkulima?? mimi nikinunua elfu 20 kilo nitauza bei gani jamani.
Andika vizuri wewe kilazaHiv ww unajua biashara kweli au graduate naongea nae hpa.. toka lini bei za mazao hua hizo hizo miaka yote. Ww ulitaka bei iwe isioande au ishuke.. kuwa muelewa kwnza bei za mazao y biashara znapanda au kushuka kila siku hadi masaa kwny soko km unavyona dollar.
Mbna usemi Kahawa ipo vizur sikoni miaka yote hasa Arabica. Ni zaid y miaka 20 haishuki bei. Acha siasa za kusifuu wanaume wezako kw vtu visvyo stahili Inzi ww.
Katika andiko hili umeona hapo tu.Note Huku kusini magufuli amekuwa shujaa sana kwa kuwa bei imekuwa nzuriTatizo hapo umemtaja magufuli
Sema kwa miaka 2 mfulilizo bei iko vizuri ya korosho
Hapa unaweza sema tangia magufuli angia madarakani mbaazi imeshuka bei hajawahi tokea
Na wanapatikana huko huko Mtwara hao wajasiliamali wadogo wadogo.... nipo Dar ila nimekua curious sana na hii biashara ya Korosho, Jumatano Mungu akijaalia naenda Mtwara je wewe upo huko kwa msaada zaidi??Kama unataka upate faidi ambayo infinity. Nunuwa korosho ambazo hazijabanguliwa kilo1 sh 2500/.Alafu wewe unazifanyia processing processing na kuziuza.Utauza kwa bei ya sh 20000/ per kg.
Mimi ndo ujanja ninaoutumia ukiacha kulima korosho,yaani nanunuwa kwa wakulima korosho alafu nabangulisha kwa wajasilimali wadogo alafu nauza
Ndio wanapatikana hao wajasiriamali.Na wanapatikana huko huko Mtwara hao wajasiliamali wadogo wadogo.... nipo Dar ila nimekua curious sana na hii biashara ya Korosho, Jumatano Mungu akijaalia naenda Mtwara je wewe upo huko kwa msaada zaidi??
I'm serious Bro.
Wow!!! nimependa sana ushirikiano wako, plz naomba nikutafute kama hutojali.Ndio wanapatikana hao wajasiriamali.
Karibu sana mi bado nipo mtwara.
Kama unahitaji ku buy korosho make sure unatenga muda wa kutosha ili kwenda vijiji ambavyo korosho zinauzwa kwa bei nafuu kidogo ili uliuza upate return nzuri.
Honestly i can say kwa miaka miwili tangu mh rais Magufuli kwa upande wa kilimo zao la korosho limeongezeka bei kwa 200%. Sijajuwa kwa nini miaka ya nyuma hili zao lilikuwa chini sana hadi wakulima wa Lindi na Mtwara kuañza kuliacha kwani halikuwanufaisha hata kidogo.
Mwaka 2016 ndipo wakulima walifuta machozi yaliyotoka kwa miongo kadhaa,bei ya 1kg ya korosho iliuzwa kwa bei ya sh3500+ kutoka bei ya awali ambayo ilikuwa sh1400.Wakulima wa zao hili la korosho walifurahi na kufarijika kwa kuuza kwa bei nzuri kabisa.Mwaka huu bei ya 1kg ya korosho ni sh 3900+ hadi 4000.
Nilinunuwa shamba mwaka 2015 but mwaka 2016 nilianza rasmi kuhudumia shamba kwa ajili ya msimu wa mwaka huo.Japo sikuweka nguvu sana kutokana na uwoga for the first tim lakini nilipata tani 2 àmbazo ni sawa na sh mil7±.
Baada ya kuona kumbe korosho ni ya forex trade ndipo mwaka huu nikatanuwa wigo wa huduma shambani na kununuwa shamba lingine.Nikayapatia huduma kwa wakati sahihi nayo yamenilipa mavuno sahihi.Hadi nimeshavuna zaidi ya tani 5 na shambani bado zipo zipo japo zimepunguwa kiasi.
Am sure nitakunja more than 12million Tsh. Naipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kulisimamia zao hili kwa sasa wakulima wamesahau machungu ya mbaazi. Maombi yangu naomba musichoke katika hili kwani wakulima wa korosho wapata walichokosa kwa miaka mingi.
My take;
Vijana wenzangu tuache kulalamikà na kutafuta public sympathetic na Ku dream kuwa tajiri through gambling. Twendeni kwenye ardhi kuna pesa nyingi sana.
NB; Nimenunuwa pori hekta 3 nimeangusha msitu mwezi huu December napanda miche ya mikorosho ya muda mfupi.
Sio kweliKatika andiko hili umeona hapo tu.Note Huku kusini magufuli amekuwa shujaa sana kwa kuwa bei imekuwa nzuri
Mikorosho 50Mkuu hizo tani 5 ulizipata kwa idadi ngapi ya mikorosho !??
Sasa cha ajabu nini? Kwani dunia inarudi nyuma au inakwenda mbele unataka bei ya 1980 iwe mpaka leo? Swali hili utanijibu baadaye embu jibu lile la mwanzo kuhusu Mbaazi..!Unajuwa zao la korosho limeanza kulimwa lina zaidi ya miaka zaidi ya 70+ lakini bei yake haijawahi kufika hata 2500.Yaani miaka yote hilo zao katika soko la dunia limepanda mwaka huu?
Pammoja na MabiboUnavuna Wastani wa kilo 100 kwa mkorosho.
Safi.
Korosho tupu bila biboPammoja na Mabibo
Hizo hesabu munatoa za kwenye vikitabu
Mwaka wapili ninahudumia mikoro 98 ,nacheza na kilo 700-800.
Hapo nawashirikisha maofsa ugani kila hatua
.
Sasa hizo hesabu niza mikorosho mikubwa kiasigani
Poa hakuna ttizo Pm namba zako kama hutojaliWow!!! nimependa sana ushirikiano wako, plz naomba nikutafute kama hutojali.
Muda ninao maana nia pia ninayo.
Kuwa na idadi nyingi ya mikorosho sio sifa Je mikorosho yote ipo active. Wakati nanunuwa shamba langu nilikuta baadhi ya mikotosho haizai nikaifanyia breeding kwa sasa nazoa tu.Mikorosho 98 kilo 800????
Kuna shida hapo kwenye mikorosho yako!
Hukupuliza sulfa sawa sawa
Kuwa na idadi nyingi ya mikorosho sio sifa Je mikorosho yote ipo active. Wakati nanunuwa shamba langu nilikuta baadhi ya mikotosho haizai nikaifanyia breeding kwa sasa nazoa tu.