Biashara ya korosho

Biashara ya korosho

Habar wadau poleni kwa majukumu ya kila siku .
Kama mada hapo juu inavyosema nahitaji mtu serious ambaye tutafanya biashara ya korosho kama ifuatavyo:
Mimi Nipo Masasi Mtwara ni mkulima wa korosho
Kwa hyo korosho zishaanza kwa tajir anayehitaj mzgo ambapo kwa sasa bei ni sh 2000 /kg 1 Baadae atauza sh 3800/kg 1 au zaid ya hapo
Kwa hyo mzgo unanunulia then unahifadhiwa au anauchukua mwenyew
Kwa maelezo zaid pm au no: 0683708181 au 0679921501
Kangomba ni marufuku, kuweni makini ukudakwa unanunua kwa mfumo huu unataifishwa mzigo wote na unapandishwa mahakamani! Lkn pia ni biashara iliyojaa ubabaishaji mno!
 
Habar wadau poleni kwa majukumu ya kila siku .
Kama mada hapo juu inavyosema nahitaji mtu serious ambaye tutafanya biashara ya korosho kama ifuatavyo:
Mimi Nipo Masasi Mtwara ni mkulima wa korosho
Kwa hyo korosho zishaanza kwa tajir anayehitaj mzgo ambapo kwa sasa bei ni sh 2000 /kg 1 Baadae atauza sh 3800/kg 1 au zaid ya hapo
Kwa hyo mzgo unanunulia then unahifadhiwa au anauchukua mwenyew
Kwa maelezo zaid pm au no: 0683708181 au 0679921501

Nna wateja wa korosho, Njoo inbox tuyajenge
 
Vipi kuhusiana na vyama vya ushirika nitawezaje kuutoa mzigo kwenda bandarini wakati utaratibu lazima mzigo uuzwe na vyama vya ushirika?
Unajisajili kwenye vyama vya msingi wao watauza kwa niaba. Kikubwa uingizwe ghalani kwa mnada
 
Kangomba ni nini??
Ni ile biashara ya kununua direct kutoka kwa wakulima tena unawalipa cash.. kisha ww unaenda kuuza ghalani kwa vyama vya ushirika kwa bei ya juu...
Zamani sana ilikuwa unajaza wali katiba bakuli kubwa (kangomba) unabadilishana na korosho au nguo au kitu chochote kwa kangomba ya korosho... biashara hii ni nafuu kwa wakulima wale wenye shida zao za fedha kwani humpatia pesa taslimu... na kwa kuwa wakiuza kwa vyama vya ushirika hupokea pesa zao kwa awamu hivyo kuwa karaha kwa hawa wakulima...
Ukiipatia ni biashara nzuri maana ni dili kafiri... unanunua 2000 na unauza 3800 hadi 4200 kwa kilo...
 
Sasa unaweka na namba ya simu si watakuja kukuchukua hapo nyumbani kwenu na uwaeleze uyo tajiri anayenunua kwa 2000.Punguza njaa kijana,umeshindwa kupata vijana wa kazi pande izo kweli.harufu ya utapeli kuweni makini
 
Habar wadau poleni kwa majukumu ya kila siku .
Kama mada hapo juu inavyosema nahitaji mtu serious ambaye tutafanya biashara ya korosho kama ifuatavyo:
Mimi Nipo Masasi Mtwara ni mkulima wa korosho
Kwa hyo korosho zishaanza kwa tajir anayehitaj mzgo ambapo kwa sasa bei ni sh 2000 /kg 1 Baadae atauza sh 3800/kg 1 au zaid ya hapo
Kwa hyo mzgo unanunulia then unahifadhiwa au anauchukua mwenyew
Kwa maelezo zaid pm au no: 0683708181 au 0679921501
Hii sio nzuri,ukibainika imekula kwako Kangomba inataka umakini sana
 
Pambanua vizuri maelezo yako,(kwamba muende wote vijijini kukusanya then muuze?, uwaletee korosho kwa oda? Au vinginevyo? )
 
Yes elezea hitaji lako hapa mkuu maelezo yako hayajitoshelezi
Yupo Masasi huko wanakookota korosho kwa maana kwamba anahitaji watu wa kuwauzia(wateja)
Au watu wa kumsaidia kuuza then mwagawana mapato 70 kwa 30 or vice verse
 
Back
Top Bottom