Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kangomba ni marufuku, kuweni makini ukudakwa unanunua kwa mfumo huu unataifishwa mzigo wote na unapandishwa mahakamani! Lkn pia ni biashara iliyojaa ubabaishaji mno!Habar wadau poleni kwa majukumu ya kila siku .
Kama mada hapo juu inavyosema nahitaji mtu serious ambaye tutafanya biashara ya korosho kama ifuatavyo:
Mimi Nipo Masasi Mtwara ni mkulima wa korosho
Kwa hyo korosho zishaanza kwa tajir anayehitaj mzgo ambapo kwa sasa bei ni sh 2000 /kg 1 Baadae atauza sh 3800/kg 1 au zaid ya hapo
Kwa hyo mzgo unanunulia then unahifadhiwa au anauchukua mwenyew
Kwa maelezo zaid pm au no: 0683708181 au 0679921501
Habar wadau poleni kwa majukumu ya kila siku .
Kama mada hapo juu inavyosema nahitaji mtu serious ambaye tutafanya biashara ya korosho kama ifuatavyo:
Mimi Nipo Masasi Mtwara ni mkulima wa korosho
Kwa hyo korosho zishaanza kwa tajir anayehitaj mzgo ambapo kwa sasa bei ni sh 2000 /kg 1 Baadae atauza sh 3800/kg 1 au zaid ya hapo
Kwa hyo mzgo unanunulia then unahifadhiwa au anauchukua mwenyew
Kwa maelezo zaid pm au no: 0683708181 au 0679921501
Unajisajili kwenye vyama vya msingi wao watauza kwa niaba. Kikubwa uingizwe ghalani kwa mnadaVipi kuhusiana na vyama vya ushirika nitawezaje kuutoa mzigo kwenda bandarini wakati utaratibu lazima mzigo uuzwe na vyama vya ushirika?
Ni ile biashara ya kununua direct kutoka kwa wakulima tena unawalipa cash.. kisha ww unaenda kuuza ghalani kwa vyama vya ushirika kwa bei ya juu...Kangomba ni nini??
Kangomba? Ndo nini?Kangomba hiyo ukibainika inakula kwako
Naomba uni pm contacts zako mkuu plsNitumie e-mail yako niko nje
Kama umesajili kampuni ni bora zaidi
Hii sio nzuri,ukibainika imekula kwako Kangomba inataka umakini sanaHabar wadau poleni kwa majukumu ya kila siku .
Kama mada hapo juu inavyosema nahitaji mtu serious ambaye tutafanya biashara ya korosho kama ifuatavyo:
Mimi Nipo Masasi Mtwara ni mkulima wa korosho
Kwa hyo korosho zishaanza kwa tajir anayehitaj mzgo ambapo kwa sasa bei ni sh 2000 /kg 1 Baadae atauza sh 3800/kg 1 au zaid ya hapo
Kwa hyo mzgo unanunulia then unahifadhiwa au anauchukua mwenyew
Kwa maelezo zaid pm au no: 0683708181 au 0679921501
Kama una soko huko nje sema vijana tukuletee mzigo.Nitumie e-mail yako niko nje
Kama umesajili kampuni ni bora zaidi
Soko lipo ila kama una certificates zote za kutuma mzigo nje tuwasilianeKama una soko huko nje sema vijana tukuletee mzigo.
Yupo Masasi huko wanakookota korosho kwa maana kwamba anahitaji watu wa kuwauzia(wateja)Yes elezea hitaji lako hapa mkuu maelezo yako hayajitoshelezi