Biashara ya kuagiza na kusafirisha Matunda

Samcezar kodi ya matunda sio kubwa na pia Tunda la Johannesburg Market linatembea sana mitaji ya kuunga harafu ubuni biashara yako itakusumbua kumbuka kupata mtaji bongo ni kazi kuliko kuupita ukuta wa Atletico Madrid...
 
Nitaka siku moja nifanye savei huko ya biashara ya material ya vitu chakavu vya plastic na Chupa za maji zilizo tumika sijui huko hii biashara hipo huko na viwanda vya kuuzia material ya plastic yapi huko?
 
Apple zipo baba......sema tu mfumo wa usambazaji ni wa kizembe.......iringa pale yapo mazuri tu tena makubwa.....yana maji na sukari........ukiingiza utapigwa kabali ya kodi hadi ushike adabu
Tanzania ya Viwanda
 
Samcezar kodi ya matunda sio kubwa na pia Tunda la Johannesburg Market linatembea sana mitaji ya kuunga harafu ubuni biashara yako itakusumbua kumbuka kupata mtaji bongo ni kazi kuliko kuupita ukuta wa Atletico Madrid...
Ukiweza kufanikiwa BONGO unaweza kuishi popote Duniani
 
Bongo kufanikiwa ni Rahisi kwa kuwa kila kitu kina vizingiti wachache wanaofanya wanapata hela Bongo kupata mtaji ndio shida kila kitu bongo kinauzwa matakataka ya Radio za china bongo zinauzwa na vitu vingine..Tv ,Gari anasa ndio maana watu wanatumia magari ya kawaida kwa bei juu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…