BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Isanga family heshima kwako, kwa hilo jina lako nadhani unatokea Mbeya-Isanga [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu salama yaa natokea Isanga mbeya hujakosea kabisa ni mwenyeji wa Mbeya Munawar...?Isanga family heshima kwako, kwa hilo jina lako nadhani unatokea Mbeya-Isanga [emoji23]
Tanzania ya ViwandaApple zipo baba......sema tu mfumo wa usambazaji ni wa kizembe.......iringa pale yapo mazuri tu tena makubwa.....yana maji na sukari........ukiingiza utapigwa kabali ya kodi hadi ushike adabu
Ukiweza kufanikiwa BONGO unaweza kuishi popote DunianiSamcezar kodi ya matunda sio kubwa na pia Tunda la Johannesburg Market linatembea sana mitaji ya kuunga harafu ubuni biashara yako itakusumbua kumbuka kupata mtaji bongo ni kazi kuliko kuupita ukuta wa Atletico Madrid...
Bongo kufanikiwa ni Rahisi kwa kuwa kila kitu kina vizingiti wachache wanaofanya wanapata hela Bongo kupata mtaji ndio shida kila kitu bongo kinauzwa matakataka ya Radio za china bongo zinauzwa na vitu vingine..Tv ,Gari anasa ndio maana watu wanatumia magari ya kawaida kwa bei juu mno.Ukiweza kufanikiwa BONGO unaweza kuishi popote Duniani

Ukiweza kufanikiwa BONGO unaweza kuishi popote Duniani