We kweli zero IQ, just simple like that??Nikopee milioni 10 tu mkataba wa mwaka nakurudishia milioni 15.
Nikuonyeshe cha kufanya nina wazo lakini halina mtaji.
We kweli zero IQ, just simple like that??Nikopee milioni 10 tu mkataba wa mwaka nakurudishia milioni 15.
Nikuonyeshe cha kufanya nina wazo lakini halina mtaji.
Imeshuka, Mara ya mwisho naona ulikuwa 12% per annum, 1% monthly.Ukiweka Utt hiyo fedha (mfano Jikimu) utapata returns za a bit over 9% per annum. Hii ni sawa na sh 1,500,000 kwa mwezi. Minimal risk.
Halafu unaendelea kutafuta dhahabu.
Kiasi imeshuka mkuu - nadhani ni kuendana na mazingira ya biashara wanakowekeza. Lakini hii 9% ndiyo unapata mkononi. Kwa ziada kuna capital appreciation (kupanda kwa thamani ya kipande polepole).Imeshuka, Mara ya mwisho naona ulikuwa 12% per annum, 1% monthly.
Mkuu unafikiri biashara na ufugaji ni sawa?Bro aneshasema biashara
Mkuu wekeza kwenye viwanda vidogodogo vya food processing ,mkuu utapiga hela sana ,Mimi nimefanya Sells na Marketing kwa miaka mitano aisee watu wanapiga hela sana sana ,Mtaji wako utakua na hutojutiahabari wanajamii wenzangu ,,, nngependa kupata mawazo hasa kwa waliowajasiliamali,, mm nimekuwa mchimbaji mdogo eneo moja hapa nchini nmeanza kuchimba miaka 9 ilopita ,, kwa bahati wiki ilopita nilibahatika nikapata dhahabu ambayo imeniingizia milioni 200 na kitu,,
nilikuwa nataka kuachana na kazi ya uchimbaji maana ni ngumu sana , napenda nifanye biashara ,, na ni biashara ipi naweza anza na nayo?
Una akili sana mkuu...Biashara pekee isio na risk ni ya kununua viwanja sehemu potential kisha unavikata na kuviuza baada ya muda flani. Hakikisha tu unanuna viwanja sehemu halali na viwe na document zote muhimu.
Hii kitu kuna jamaa yangu inampa pesa sana sema inatakiwa uwe na mtaji mkubwa ambao wewe naona unakutosha sana hata ukianza na million 30 ukaikata hukosi faida ya 10 million ndani ya miezi michache. Zunguka hata mikoani si lazima Dar tu. Miji inatanuka kwa kasi we enenda kwenye miji yote potential.
Kwanini nakwambia biashara hii haina hasara, kiwanja hakishuki thamani. Huwa kinaongezeka thamani with time hivyo sehemu uliouziwa laki 6 leo, mwakani yaweza kuwa million 2 mpaka 3 kwa mji unaokuwa haraka sana.
acha ujinga yeye pia ana ndugu kibao wenye mawazo yenye kulipa kuliko lako ,fanya alichoomba hiyo avatar inafaa kuwa yako halisi kwa ubongo ombaomba huoNikopee milioni 10 tu mkataba wa mwaka nakurudishia milioni 15.
Nikuonyeshe cha kufanya nina wazo lakini halina mtaji.
Million 200 dhahabu hizo ni kilo si chini 300..
Acha masihara mkuu..
Mkuu nilichanganya kilo na gram.. Nilikuwa na lengo la kusema gram 2000 kwasababu dhahabu ambayo haujawa processed ni 50000-70000 kwa gmUnaijua dhahabu au?
Hapo ni kilo mbili tu kwa hiyo hela
Mkuu nilichanganya kilo na gram.. Nilikuwa na lengo la kusema gram 2000 kwasababu dhahabu ambayo haujawa processed ni 50000-70000 kwa gm
Kiongozi unataka kuniambia kwa mtaji wa 80mil kuingiza faida ya laki tano kwa mwezi ni sahihi? mbona hiyo faida ni kiasi kidogo sana?Prondo,mimi siyo mtaalamu wa mambo ya biashara lakini kwa mtaji wa milioni themanini na kuingiza laki tano kwa mwezi siyo mbaya. Ni biashara halali chache sana ambazo unaweza kupata faida ya zaidi nusu milioni kwa mwezi kwa mtaji wa milioni themanini.
Ni mtazamo wangu kama faida haitaguswa kwa miaka mitatu na nyumba kuuzwa kwa faida kuliko kuteki risk na kutumia mtaji mkubwa huku ukigawana faida na TRA.Kiongozi unataka kuniambia kwa mtaji wa 80mil kuingiza faida ya laki tano kwa mwezi ni sahihi? mbona hiyo faida ni kiasi kidogo sana?