Nishachukua pale Mtaa wa Agrey last week vifaa Vyote inshaandaa itakuwa fully studio mwezi ujao ofis itaanza Kazi tuombe Dua tu
Ahsante , location Iko vizuri kwa mtazamo wa kawaida mpaka nikianza kwa vitendo ntaona mwenendo Uko ila kwa frame niliopata ntajiuongeza na kuweka bidhaa nyingine kama, Earphones, memory,flash,Cable, extension, Charger za kuuza,Makasha ya simu,mikanda,Hangchifu,soksi Yebo yebo/slippers/sandel za watoto ,masistaduu Na vijana mashalo coz frem kubwa so Ili nivutie wateja wingine hyo ndgo plans yangu na Mpaka sasa Nishatimiza 75% kwa yote haya MkuuHongera sana, muhimu zingatia sana location. Ukizingatia hilo na ukamtegemea Mungu na kuongeza juhudi hakika utajuta kwann ulichelewa kuanza. Kuna dogo pale mtaani ninapo polea anakimbiza sana, dogo ninacho mkubali anajitambua sana.
Okay nimekupata Sana MkuuKikubwa nilocation biashara yeyote ile inahitaji location nzurii, fahamu watu wanapitia upandegani wa barabara kwa wingi je ? Kulia au kushoto ,usifungue pembezoni yamtuu kwalengo lakumuibia wateja utafelii pakubwa .
Ukiuza bukumbili kilasiku jilaumu wewe kwakutokuwa makini na location .
Mimi baada yakununua kilakituu nilitumia mienzi sita kutafta location nasahivi mambo yapo sawa sijui wewe utatumia mdaa gani