Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Hongera sana, muhimu zingatia sana location. Ukizingatia hilo na ukamtegemea Mungu na kuongeza juhudi hakika utajuta kwann ulichelewa kuanza. Kuna dogo pale mtaani ninapo polea anakimbiza sana, dogo ninacho mkubali anajitambua sana.
Nishachukua pale Mtaa wa Agrey last week vifaa Vyote inshaandaa itakuwa fully studio mwezi ujao ofis itaanza Kazi tuombe Dua tu