Biashara ya kubeti

masagati

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
492
Reaction score
357
salaam wana jf.
Naomba usaidizi wa hii biashara ya kubeti nataka
kuifanya ila cjui pa kuanzia naomba Mwenye kujua
anisaidia .
Natanguliza shukrani kwa wana jf wote
 
hivi wewe ni mwanaume kweli au 'mbebez' wewe!! Biashara za 'mbebez' hizo wewe!! Tatizo mijitu myeusi inapenda vitu laini sana!!..tafuta kazi za kiume wewe!!...tatizo shule huna na unaonekana umeishia darasa la 5b wewe!!

we dogo hoja zako nyingi ni za kulaumu mtu mweusi...inamaana ww ni mzungu wa tandale?
 

mkuu Njaa tatizo huyu dogo ulimbukeni unamsumbua na ndo maana anaona kila ujinga atakaoropoka ataonekana mjanja, kama anaona bet ni kazi ya kike ninaomba amshauri huyu jamaa ni kazi gani anayoamini kuwa ni ya kiume anaweza fanya!
 
Last edited by a moderator:

online kaka
 
Asante wana jf nimepata nilicho jitaji nitaludi siku nyingine na mrejeshp
 
sorry naoomba kujua kazi ya bet ni kazi ya aina gani hiyo maana wengine hatujui
nataka kufahamu nami niifanye biashara hiyo naona ni nzuri
mkuu Njaa tatizo huyu dogo ulimbukeni unamsumbua na ndo maana anaona kila ujinga atakaoropoka ataonekana mjanja, kama anaona bet ni kazi ya kike ninaomba amshauri huyu jamaa ni kazi gani anayoamini kuwa ni ya kiume anaweza fanya!
 
Aisee kama unataka kuwa wakala na una mtaji mkubwa,
Ila kama ni mchezaji lazima ufilisiki,kubet ni kubahatisha na uwezekano wa kuliwa ni mkubwa 90%
 
sorry naoomba kujua kazi ya bet ni kazi ya aina gani hiyo maana wengine hatujui
nataka kufahamu nami niifanye biashara hiyo naona ni nzuri

Wala usihangaike,ni sawa na kucheza kamari tu,mfano kuna kubet aina nyingi za michezo,mpira,handball,basket ball,etc.
Kama ni mpira unaweka hela yako unasema timu flani itashinda huu mchezo,ikifungwa umeliwa,kuna namna nyingi au unaweza kusema watafungana zaidi ya mogoli kadhaa,au mchezaji flani atafunga goli,au kipindi flani kutakuwa goli au kadi ya njano au nyekundu itakwepo.
Ipo risky sana
 
ahaaa kumbe ni hivyo nahisi haunifai kabisa nilifikiri ni kama deci vile?
asante kunielewesha best
 
ahaaa kumbe ni hivyo nahisi haunifai kabisa nilifikiri ni kama deci vile?
asante kunielewesha best

Sikiliza dada, akili za kuambiwa changanya na zako. Ukitaka kujua waweza google utapata more info. Its obvious ukicheza ww unaweza poteza hela nyingi...tunachozungumzia ss ni kuwa wakala na wewe ndio una operate that business...you earn commissions from the people winning the bet. YOU CAN'T LOOSE MONEY IF YOU ARE SMART. Tangu lini mwenye biashara ya casino anapata hasara ?? Wanaopata hasara au kuliwa ni wale wanaocheza kamari..we owner huna habari, we unapiga commissions/hela tu. Washinde wasishinde we hela lazma utapiga. Ili mradi mchezo uchezeke na ulipe taxes, charges etc. U get my point ???
 
Kuliwa watu twaliwa tu hata mie nimewahi liwa hadi nikakosa usingizi.
Ila siwezi acha hadi norudishe hela yangu wamekula nyingi sana mshahara wa mwalimu wote umeenda
 
Mpuuuzeni huyo kichaa aliemshambulia ndugu yetu hakujua maana ya bettin ukute alidhan n kama upatu vile,mkuu hapo kwa mhindi ukiiuza mikeka ya laki moja ww commission yako n tsh 7000 hiv,so kama upo na wateja wa kutosha utamek pesa nying sana pia yatakiwa uwe na mtaji w akuwalipa wale watakao kuwa wanashind mikeka midogo midogo


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Huo ni mchezo mzuri sana mm kila siku nakula pesa! Dawa kubwa ni kufuatilia timu na kuzifahamu vizur! Pamoja saaaana!
 
Nilikuwa sipendi kubet ila nilikuwa nikimsindikiza rafik yangu nikawa naona anashinda siku nikabet.

Nilibetia timu kumi na ni risk kubet timu nyingine. Zote zilikubali nilipata million 60 kwa tzsh.

Aisee si kuacha nikawa na bet japo nilikuwa nakosa lakin sikuacha hadi nilipoama mji na kuamua kuacha.

Hiyo pesa niliitumia vibaya nilikuwa mwanafunzi.

Nilitumia kutembelea nchi mbalimbali nikiwa na manzi wa kikenya pesa ilivyoisha hakaniacha siwezi msahau huyo manzi.

Hasira niliimalizia kwa kuomba mtaji kwa mama na kufanya biashara kwa nguvu zote baada ya miezi 6 niliipata zaidi ya hiyo.
Hapo nikiwa bado mwanafunzi

Huyo mkenya akarudi kuniomba msamaha nikakataaa nilijifunza
 
aisee labda zamani,matokeo ya siku hizi ukiangalia utadhani wanauza game
 
aisee labda zamani,matokeo ya siku hizi ukiangalia utadhani wanauza game

Mi nilikuwa naangalia website kama kumi za wachambuzi wanaotabiri matokeo. Kisha naangalia wengi wanasemaje
 
Olbg.com
Betting tips community
Kwenye betting fata moyo wako ukifata hizi betting tips unaweza poteza mfano mechi ya jana ya man city na sunderland, as monaco kapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…