Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi wewe ni mwanaume kweli au 'mbebez' wewe!! Biashara za 'mbebez' hizo wewe!! Tatizo mijitu myeusi inapenda vitu laini sana!!..tafuta kazi za kiume wewe!!...tatizo shule huna na unaonekana umeishia darasa la 5b wewe!!
Acha mbwembwe, aliyekuambia biashara ya kubet ni ya kike au ya wajinga ni nani? Kwa taarifa yako taaluma na technolojia inayotumika kwa hii biashara ni hi-tech. Ukiwa wakala lazima atamake money, ila ukiwa mchezaji jiandae kufilisika. Toa maelezo betting zip? online au zile za slots machines?
Ni aje mkuu hebu tembelea hii link Premier betting Tanzania - Homesalaam wana jf.
Naomba usaidizi wa hii biashara ya kubeti nataka
kuifanya ila cjui pa kuanzia naomba Mwenye kujua
anisaidia .
Natanguliza shukrani kwa wana jf wote
Acha mbwembwe, aliyekuambia biashara ya kubet ni ya kike au ya wajinga ni nani? Kwa taarifa yako taaluma na technolojia inayotumika kwa hii biashara ni hi-tech. Ukiwa wakala lazima atamake money, ila ukiwa mchezaji jiandae kufilisika. Toa maelezo betting zip? online au zile za slots machines?
Ni aje mkuu hebu tembelea hii link Premier betting Tanzania - Home
sorry naoomba kujua kazi ya bet ni kazi ya aina gani hiyo maana wengine hatujui
nataka kufahamu nami niifanye biashara hiyo naona ni nzuri
Wala usihangaike,ni sawa na kucheza kamari tu,mfano kuna kubet aina nyingi za michezo,mpira,handball,basket ball,etc.
Kama ni mpira unaweka hela yako unasema timu flani itashinda huu mchezo,ikifungwa umeliwa,kuna namna nyingi au unaweza kusema watafungana zaidi ya mogoli kadhaa,au mchezaji flani atafunga goli,au kipindi flani kutakuwa goli au kadi ya njano au nyekundu itakwepo.
Ipo risky sana
Ni aje mkuu hebu tembelea hii link Premier betting Tanzania - Home
ahaaa kumbe ni hivyo nahisi haunifai kabisa nilifikiri ni kama deci vile?
asante kunielewesha best
aisee labda zamani,matokeo ya siku hizi ukiangalia utadhani wanauza gameNilikuwa sipendi kubet ila nilikuwa nikimsindikiza rafik yangu nikawa naona anashinda siku nikabet.
Nilibetia timu kumi na ni risk kubet timu nyingine. Zote zilikubali nilipata million 60 kwa tzsh.
Aisee si kuacha nikawa na bet japo nilikuwa nakosa lakin sikuacha hadi nilipoama mji na kuamua kuacha.
Hiyo pesa niliitumia vibaya nilikuwa mwanafunzi.
Nilitumia kutembelea nchi mbalimbali
aisee labda zamani,matokeo ya siku hizi ukiangalia utadhani wanauza game