Biashara ya kubeti

hivi wewe ni mwanaume kweli au 'mbebez' wewe!! Biashara za 'mbebez' hizo wewe!! Tatizo mijitu myeusi inapenda vitu laini sana!!..tafuta kazi za kiume wewe!!...tatizo shule huna na unaonekana umeishia darasa la 5b wewe!!

Mkuu mawazo ya aina hii yatakupa shida sana kueleweka na kukubalika na jamii ya watu wastaarabu. Hii biashara ni ya kisomi inayohitaji technolojia ya hali ya juu sana na inaendeshwa na makampuni na watu wasomi sana duniani. Uanaume si kubeba zege tu. Kwa mawazo yako ina maana watu kama JK, Pinda na mawaziri wengi wanaume hawezi kuwa wanaume kwasababu hawafanyi kazi za kutumia nguvu? Think twice!
 

Mkuu ulibetia kampuni gani?
 
Kuliwa watu twaliwa tu hata mie nimewahi liwa hadi nikakosa usingizi.
Ila siwezi acha hadi norudishe hela yangu wamekula nyingi sana mshahara wa mwalimu wote umeenda

Hahah,,mshahara wote kweishnehi,,ila uckate tamaa mkuu,hadi urudishe chako asee
 
Mkuu hebu nicheki nijue nataka anzisha biashara ya bettng ila sijui lolote kuhusu hilo kaka sasa nisadie manake huku niliko vijana naona wanabett kama wamelogwa vile
 
Mrejesho:
Nashukuru kwa michango yenu ya mawazo nimeifanyia kazi mpka sasa nina vituo tisa vya uwakala na pesa nyingi napata more tha 8ml as profit a month kwa vituo vyote.
Changamoto zilikuepo mwanzoni ila sasa nina uzoefu kila kitu kinakwenda sana na biashara inakua.
Not: na sikuanza na mtaji mkubwa
 
Mkuu hebu nicheki nijue nataka anzisha biashara ya bettng ila sijui lolote kuhusu hilo kaka sasa nisadie manake huku niliko vijana naona wanabett kama wamelogwa vile
Azam juzi walinichania mkeka wangu na 4G yao sina hamu nao
 
Ulianza na mtaji wa kiasi gani, na umechukua uwakala wa kampuni gani mkuu?
 
Enheee hapa sawa sasa bos ulianza na mtaj wa bei gan na ile slot mashine wanauzaje wao tuelmishe kama weye ulivo elimishwa mwanzo
 
Habari wakuu,


Yapata muda mrefu sasa tangu hii (sijui niite biashara au kamari) ya kubeti iingie nchini na kwa mtazamo wangu naona kwamba imepata na kuendelea kupata wafuasi wengi sana hasa kwa kipindi cha hivi karibuni ikiwa ni watoto, vijana, watu wazima, mabibi na hata mababu kuvutiwa na aina hii ya 'uwekezaji'.

Hivyo basi ningewaomba wale wenye ufahamu wanijuze yafuatayo Tafadhali,

1. Je huwa kuna kozi au mafunzo japo ya muda mfupi kwa anaetaka kuanza ?
Maana ni inaonekana ni moja ya fursa nzuri sana haswa kipindi hiki cha P.U.K (maisha magumu) .

2. Ni mtaji kiasi gani unahitajika ili kuanza?

3. Kama ilivyo ada kwa biz yeyote ile, what are the risks ?

4. Je pia kuna watu wameshawahi kutusua kupitia Kubeti?

Thanks in Advance! [emoji111]️
 
Mkuu vipi changamoto zilizopo ni zipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…