Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
hivi wewe ni mwanaume kweli au 'mbebez' wewe!! Biashara za 'mbebez' hizo wewe!! Tatizo mijitu myeusi inapenda vitu laini sana!!..tafuta kazi za kiume wewe!!...tatizo shule huna na unaonekana umeishia darasa la 5b wewe!!
Mkuu mawazo ya aina hii yatakupa shida sana kueleweka na kukubalika na jamii ya watu wastaarabu. Hii biashara ni ya kisomi inayohitaji technolojia ya hali ya juu sana na inaendeshwa na makampuni na watu wasomi sana duniani. Uanaume si kubeba zege tu. Kwa mawazo yako ina maana watu kama JK, Pinda na mawaziri wengi wanaume hawezi kuwa wanaume kwasababu hawafanyi kazi za kutumia nguvu? Think twice!