Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Ma-legends majibu mnayo lkn hamtupi au mko bize na uzalishaji? Mkipata wasaa mtukumbuke wenzenu kwa ushauri na ideas za kazi. Shukrani!!
 
Boss naomba unicheki kwa 0786623636 kama ni whatsapp au kawaida.
 
Mkuu hapo kwenye bei ya mashine naomba urekebishe ni 70 milion au milion 7?
 
Mkuu uko sahihi sana wazo lako zuri watu lazima wale so no kuweka mazingira tuu kuwa bora. Na TBS nilazima wakuthibitishie ubora wa kiwanda chako mkuu ili uingie sokoni rasmi.
 
Asante ndugu kwa taatifa, huu ni Msiba jamaa walikuwa wanamaanisha kwakweli...na wengi walinufaika sana Ila ndio watakatifu hawataki kuona watu wanainuka.[emoji16] [emoji16]
Serekali yetu hiyo
 
Nimefurahi sana kuona kumbe unachofikiria kuna wengine wanakitekeleza, Kuna siku nitakuja kuandika wazo hili kwa kirefu.
 
Ni project nzuri kwa kuifikilia sina uzoefu wowote Ila nadhani inalipa! Ngoja waje wenye uzoefu Ila natanguliza hongera kwa hatua hio mkuu!
Ni wazo zuri na kiukweli ni biashara inayowatoa watu wengi sana kimaisha.
 
Mimi ni mfanya biashara wa maindi,hivyo kama hutojali,tunaweza fanya kazi pamoja.Kwa maelezo zaidi 0762962872.
 
Mkuu una mawasiliano na hao Wathailand unipe?
 
Jombaa ukidizaini logo unaprint kwenye viroba pia?
Habari mazee. Hapana sifanyi printing jombaa. Me ni designer tu. Unaweza wasiliana nami ili nikuoneshe kazi zangu.
+255 688 999006 (calls, Texts, whatsapp & telegram)
 
Naona watu wametimiza tayari ndoto zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…