Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

Kuna njaa kali sana miaka hii miwili ndo maana.
 
Safi sana, ushauri murua kabisaaaaa.
 
Sasa hivi biashara hii siyo kama zamani.Sasa hivi watu wamegeukia dona baada ya kupata elimu kuwa sembe haina faida mwilini na hivyo haifai kwa afya ya binadamu.
Hahahaha, unaishi wapi wewe?
 
Mkuu naona huu uzi wa kitambo lkn jee hao wathailand vipi wapo this year ili tuangalie tunapataje hyo chance?
 
Hebu fafanua hizo issue hapo zinaumuhimu gani ili tuangalie tunakutafutaje chief.
 
Nikipata fursa nitakupa ushauri zaidi ila kwa sasa naomba nijue site yako iko wapi na unalenga watea gani.Kama upo mini tafakari kwa kina kama una strategy ya kushindana na Bakhresa na Nyati pamoja na Azania ambao ni wafanya biashara wakubwa.
 
Safi sana Lutifya.

Hawa wanapatikana wapi mi niko temeke? Na je nikinunua lazima niwapelekee au watakuja kiwandani? Na je hii biashara inanilazima kusajiri TFDA na TBS?
Si lazima,maana naona pale TANDALE wanapaki tu kwa majina yao basi.
Aunt yangu nae anafanya hii biashara nae huwa anapaki tu wala hakuna ishu za tbs na TFDA labda zije awamu hii ya LISSU
 
okey i got u,so ur a logo rid dim?
Hapana,ila kuna kazi huwa nafanya natumia hivyo vitu kama proforma, receipt, delivery notice.
Mfano mteja anapotaka mlinganisho wa bei wa muuzaji A na B atahitaji proforma, kama muuzaji au mtoa huduma hana na bei yake reasonable itakuaje?

Na sio lazima awe LOGORIDDIM, waweza kusaka mwenyewe mtu mwingine akuandalie ni muhim kuwa navyo.
 
Pia nimeisha design logo na niko mbioni kuisajiri TFDA na TBS ili kwa baadae niweze ku export pia japo.

Nafaka Distributors Limited | Facebook

Nafaka Distributors Limited

Naomba nichukue hii nafasi kuwashukuru nyote kwa mawazo na michango yenu toka nianzishe huu uzi.

Ntaendelea kuwajulisha kadri ninavyoendelea.

Kwa maelezo na picha zaidi tembelea hizo link hapo juu
 
Watakuwa si wanaenda kula? Haya mahindi ndo yenye virutubisho vingi sana kuliko haya meupe na ukiweza kuwa na unga wake wa Dona ukawa unatumia inakuwa vizuri sana. Hata kwenye kutengeneza unga wa uji inashauliwa kutumia haya mahindi.
Yaah, ni kweli Mkuu haya Mahindi yana virutubisho sana..Wenyewe wanasema wananunua kwa wakulima wanapeleka kwao. Mwaka wa jana walinunua kwa 1kg 550 Bei zao wananunua kwa Kilo sio kwa Gunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…