Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mdau ntaanza kuifikiria hio ya m1 labda na virikuu[emoji23][emoji23]Pool mpya..kenice 1,600,000
Used jwa hao hao kenice wanauza 1,000,000 mpaka 1,200,000 good as new
Biashara ya pooltable yenyewe kama yenyew hailipi kiihvyo,ilikua ndio biashara yangu nilivyomaliza form six.
Ukipata eneo nzuri lenye vijana wengi wacheza kamari (max loss) ndio kidogo utaona faida kwasababu game zinaisha fasta fasta kwa hyo wanacheza mizunguko mingi .ila wale wacheza looser game inakawia kuisha ndanu ya lisaa watu wanapiga game mbili tu...
Token sh 200/=
Uhakika wa game pe day zinaweza kuwa hata 40+ kwa max loss
Biashara ni nzuri siku za wkend sana,
Ukitaka kuifaidi hyo bishara zifanye ziwe 3 in one..tafuta eneo nzuri weka pooltable lako,weka sehemu ya kuonyesha mpira na kipub cha kishkaji tu,
Wacheza kamari wanakula sana safari virukuu,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Goodkuck
Zinafunguliwa saa nane na nusu mchana mkuu kufunga saa nne usikuzamani ilikua na pesa sana kabla Mangu hajasema muda wa kucheza pool table ni kuanzia saa10 jioni
Bado wapo, napitaga pale nikiwa naenda Tandika abiola kwa demu wanguhawa jamaa bado wapo pale ubungo external?
Kama uko mwanza unapata kwa 1.2m na kuendeleaBei ya sasa hivi ya Pool Table ni sh.ngapi? Msaada wakuu nataka nianzishe ligi ya pool table.
Nataka pool table naomba unipigie 0762336484Sehemu nyingi tu hizi pooltables zinatenezwa hapa dar...
Kuna sehemu takikati ya riverside na mabibo hostel, pia maeneo flani karibu na ubungo kibangu...
Niliulizia bei wakaanza na 1.2 M lkn kuna maelewano...