Biashara ya kufanya kwa graduate/ushauri

Watanzania wengi hatuamini katika elimu tulizonazo. Utakuta mtu amesomea ualimu lakini akiingia mtaani anafanya biashara ya duka. Mtu kasomea mazingira akiingia mtaani anafanyabiashara ya magari........... Hivyo hivyo kwa wafanyakazi pindi wakistaafu wanaishia kufanya kazi tofauti na walizokuwa wakizifanya mwanzoni. Yaani ni mchanyato wa ajabu kabisa
 
Mkuu bila shaka umeajiriwa, watu ambao wameajiliwa utawajua tu wakiingia humu kutoa ushaui, kwani walio fanikiwa wote kibiashara walisomea hiyo fani?
 
what are you best at? Do that and if it seems hard keep doing it, until it either fail completely or stand completely!
 
Back
Top Bottom