Kaomba ushauli hazarani ili na watu wengine uwasaidie mpatie hapa hapa na wengine wanahitaji uwasaidiekijana hilo ni wazo zuli sana.sema kama unaeza naomba tuwasiliane kupitia hii namba whatsApp.0719448730
Asante ndugu....Kwa uchache utaaitaji leseni ya biashara kutoka halmashauri na number ya mlipa kodi kutoka TRA
Vingine wataongezeaa
Ongeza na hela ya kulipia au ada kwa mamlaka ya chakula nahisi Siku izi wanachukua TBS, zamani ilikuwa unalipia TFDA