Biashara ya kufungasha na kuuza mchele

Biashara ya kufungasha na kuuza mchele

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
111
Habari wadau.

Nilikuwa na wazo la kufanya biashara ya kufungasha mchele kwenye kilo 5,10 na 20 na kuuza kwenye fremu. Je, kwa biashara ya aina hii natakiwa kuwa na vibali vya aina gani kutoka serikalini?

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kijana hilo ni wazo zuli sana.sema kama unaeza naomba tuwasiliane kupitia hii namba whatsApp.0719448730
 
Kwa uchache utaaitaji leseni ya biashara kutoka halmashauri na number ya mlipa kodi kutoka TRA


Vingine wataongezeaa
 
Back
Top Bottom