Biashara ya kuingiza Nyimbo na movie niwe na kiasi gani cha mtaji

NATAKA KUWA MWAKILISHI WA MOVIE ZA KIKOREA,KIFILIPINO,KICHINA NA BARA LA AMERICA KUSINI,PAMOJA NA KIZILINDA HAKI ZA WASANII WA NCHI HIZO.
 
NATAKA KUWA MWAKILISHI WA MOVIE ZA KIKOREA,KIFILIPINO,KICHINA NA BARA LA AMERICA KUSINI,PAMOJA NA KIZILINDA HAKI ZA WASANII WA NCHI HIZO.
Mwakilishi unamaanisha nini ?, na kwanini nchi hizo wakupe wewe hilo deal ?, utawanufaisha vipi ?

Kama unamaanisha exclusive rights za kuonyesha hivo movies kwanini wakupe wewe na utazionyeshea wapi.., TV stations ndio huwa zinabid exclusive rights za mahali fulani na kwa miaka kadhaa au muda kadhaa na pesa yake sio ndogo...

Kama unamaanisha kuwakilisha ili ushike watu wasifanye piracy, kwanini upewe wewe una uwezo gani wa kufanya hivyo na ukiwashika watu una uwezo wa kuwabana na kuwawajibisha? hizo haki utalizinda vipi na kwa ujira gani na una facilities zipi za kufanya hivyo?
 
Long long protocol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…