Biashara ya kujiendesha yenyewe

fikirijohnas

Member
Joined
Nov 10, 2018
Posts
46
Reaction score
29
Habari waungwana!

Katika pitapita za hapa na pale, katika eneo fulani mkoani Simiyu nimeona mradi wa maji unaojisumamia wenyewe. Yaani,mteja anaweka pesa ya sarafu kwenye mashine,kisha anakinga ndoo. Kama ameweka sh. 50 atapata maji ya pesa hiyo au zaidi kulingana na pesa yake.

Hakuna haja ya msimamzi, ikifika jioni mwenye kisima anafungua mashine na kuchukuwa mapato ya siku
Naomba kufahamu kama kuna biashara nyingine inayoendeshwa kwa mfumo huo,na wataam wa mifumo hiyo wanapatikana wapi na gharama zao ni kiasi gani.

Ahsanteni.
 
Ipo mingi nafahamu ile limashine vijana wanaingiza sarafu. Iyo inajisimamia yenyewe.

Kifupi hakuna biashara inayojisimamia pasipo usimamizi wa muhusika. Lazima utahusika ata kwa 10%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…