Biashara ya kujiuza inavyowalipa wadada!

Sio kweli bhana
Tena afadhari hata huyu unayemjua kuwa nikienda niandaye buku kumi yangu, halafu tukimaklizana yameisha... LAKINI HAWA WA MIZINGA YA JANUARY... mara ADA, mara PANGO, mara RASTA, mara KIJORA, ..... huyu anayejiuza wala hanaga hayo... yeye ukimpa buku 10 yake, anajua mwenyewe afanye lipi kati ya hayo ya KIJORA, RASTA, PANGO, ADA ...n.k

Hawa wengine ikiitwa RASTA, ujuwe ya PANGO utatoa tu,
 
Sidhani kama Wateja ni wengi kwa maoni yangu naona Wateja ni wachache ndo maana bei ni ghali ili akipatkana angalau mteja mmoja basi sio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…