biashara ya kujiuza kwa wanavyuo

biashara ya kujiuza kwa wanavyuo

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Nimesikia kwa mdau mmoja kuwaa wanafunzi wa udsm na ardhi huwa eti wanajiuza mliman city unakuta wanazunguka hata hawana la kufanya na ukiwagusa unawapata fasta hivi nyie hamjasikia?
 
[Nimesikia kwa mdau mmoja kuwaa wanafunzi wa udsm na ardhi huwa eti wanajiuza mliman city unakuta wanazunguka hata hawana la kufanya na ukiwagusa unawapata fasta hivi
umbea na tamaa ya wanawake ndo inayokusumbua
 
Nimesikia kwa mdau mmoja kuwaa wanafunzi wa udsm na ardhi huwa eti wanajiuza mliman city unakuta wanazunguka hata hawana la kufanya na ukiwagusa unawapata fasta hivi nyie hamjasikia?

nimesikia wahi fasta ukichukua wawil unapata na mmoja nyongeza
 
Nimesikia kwa mdau mmoja kuwaa wanafunzi wa udsm na ardhi huwa eti wanajiuza mliman city unakuta wanazunguka hata hawana la kufanya na ukiwagusa unawapata fasta hivi nyie hamjasikia?

Wewe gamba toa hapa tamaa zako!
 
Jamani mbona mnanitukana? Wakati mwenzenu nimesikia nauliza na nyie wenzangu kupata uhakika?
 
Sio wa Mlimani tu, hata pale Ustawi au IFM/CBE na Mabibo hostel wapo wengi tu. Kama unawataka sema uelekezwe maana huonekani kama unafanya tafiti bali kwa matumizi yako.
 
Mkuu unaonekana mtaalam utakuwa ushajiphtia wanafunzi wote toka vyuo vya dar es salaam
 
Sio wa Mlimani tu, hata pale Ustawi au IFM/CBE na Mabibo hostel wapo wengi tu. Kama unawataka sema uelekezwe maana huonekani kama unafanya tafiti bali kwa matumizi yako.

Hebu ni pm kwa ndani mkuu
 
Jamani mbona mnanitukana? Wakati mwenzenu nimesikia nauliza na nyie wenzangu kupata uhakika?

Wa UDOM wanafanya nin?omba kusoma UD mkuu!
Sorry, u might be right,bt wewe kila siku thread zako zinahusu UD, tena in a negative way!!try to change mkuu au waonaje?maana people may comment shit while umeongea cha maana!
 
Siyo kujiuza bali wanatafuta opportunity ya kupata watakaowasaidia kifedha kwa kubadilishana na mapenzi. Mikopo haiwatoshi, wazazi wao wanachowapa nacho hakiwatoshi, kwa kuwa wanahitaji pesa nyingi kwa matumizi ya kileo. Mfano, simu, laptop, tv, fridge, nguo, viatu, usafiri, nk.
 
HATA SIJUI KWA SABABU MARA NYINGI HUWA NIPO HOSTEL NIKISOMA. YAWEZEKANA SABABU MAISHA WANAYAPAPARUKIA SANA HAWA WAREMBO:bange::bange::bange::bange::bange::bange:
 
Jamani mbona mnanitukana? Wakati mwenzenu nimesikia nauliza na nyie wenzangu kupata uhakika?

ukishapata uhakika unataka ufanye nini?
1.UWAKATAZE?
2.UKAWANUNUE PIA?
3.UKARIPOTI KWA MKUU WAO WA CHUO?
4..Au...
 
Nimesikia kwa mdau mmoja kuwaa wanafunzi wa udsm na ardhi huwa eti wanajiuza mliman city unakuta wanazunguka hata hawana la kufanya na ukiwagusa unawapata fasta hivi nyie hamjasikia?

wew unauelewa mdogo sana kifupi wew ni mjinga!!
 
Siyo kujiuza bali wanatafuta opportunity ya kupata watakaowasaidia kifedha kwa kubadilishana na mapenzi. Mikopo haiwatoshi, wazazi wao wanachowapa nacho hakiwatoshi, kwa kuwa wanahitaji pesa nyingi kwa matumizi ya kileo. Mfano, simu, laptop, tv, fridge, nguo, viatu, usafiri, nk.

Mapenzi??? Kubadilishana na mapenzi???
 
Wanafunzi wote tz malaya tu,ukwel ndo huu hakuna vyuo,sekondari wala primary.Bisha.
 
Si jambo jema kwa dada zetu kama wanafanya hivyo,tuwaombee ili waongozwe na utashi wa kutambua mema
 
Back
Top Bottom