mr jay4
Member
- Dec 17, 2019
- 19
- 48
Ndugu zangu mimi nalima mahindi nipo Mbeya, miezi mitatu nyuma nililima mahindi yangu yalistawi vizuri pia kuna rafiki yangu alilima lakini yeye alinishauri tuuze mahindi mabichi yakiwa shambani yanafaida kubwa mimi binafsi nilikataa lakini yeye aliauza kwa wachuuzi kama 1400000 (hekali moja) isee baada ya kuvuna nimepata gunia 11 na mahidi huku yameshuuka bei daa imekata isee ...
Nipo mbele yenu naomba kujua mwenye ujuzi na mahindi mabichi kuliko niuzie shambani bora nivune mabichi kama mabichi nikauze mwenyewe nachoomba nijue soko lake likoje? Na ipi ni mikoa mizuri kwa kuuzia?