Biashara ya kujumlisha mahindi mabichi

Biashara ya kujumlisha mahindi mabichi

mr jay4

Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
19
Reaction score
48
Ndugu zangu mimi nalima mahindi nipo Mbeya, miezi mitatu nyuma nililima mahindi yangu yalistawi vizuri pia kuna rafiki yangu alilima lakini yeye alinishauri tuuze mahindi mabichi yakiwa shambani yanafaida kubwa mimi binafsi nilikataa lakini yeye aliauza kwa wachuuzi kama 1400000 (hekali moja) isee baada ya kuvuna nimepata gunia 11 na mahidi huku yameshuuka bei daa imekata isee ...

Nipo mbele yenu naomba kujua mwenye ujuzi na mahindi mabichi kuliko niuzie shambani bora nivune mabichi kama mabichi nikauze mwenyewe nachoomba nijue soko lake likoje? Na ipi ni mikoa mizuri kwa kuuzia?
 
Pole sana ni changamoto za kilimo, Mkuu kwani mahindi gunia sasa hivi bei gani?
 
Debe ni 8000 hivyo mara sita ndio bei ya gunia kwasasa mbeya
 
Mahindi mabichi tafuta location ambayo hakuna wanaouza uwe unapeleka unajumlisha kama wanavyofanya jamaa kule mwanjelwa barabara ya kwenda alaf limited kila siku alasir au uyole nk...
 
Okey saw saw ndugu ivi kwa mwindi mmoja shingap?
 
Back
Top Bottom