Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
Wakuu nimejaribu kupitia mada mbalimbali kuhusu biashara hii ya kukodisha magari hapa jamii forum lkn hakuna mada hata moja yenye ushauri uliojitosheleza,Kitu nachotaka kujua zaidi kwa wale wazoefu wa biashara hii je ni DHAMANA gani mteja anatakiwa aiache ili umpe gari kama garantia!!?