Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
Hii biashara inasumbua sana kama mtaji wako mdogo na siyo mtoto wa mjini itakuumiza, kwa yafuatayo
-wengine hawajui kuendesha vizuri unaweza rudishiwa gari likiwa halitamaniki
Wateja wengine ni experienced criminals hilo gari atalikodi halafu atasepa nalo kulichinja na kuuza spare ilala
Utapoteza muda mwingi polisi kufuatilia ajali na matapeli na fahamu kwamba matapeli wengi wanafahamika sana polisi , utaishia kupigwa kalenda.
Ukibahatika kukodisha kwenye taasisi itakulipa ingawa ni zali kupata
From my experience
mkuu mi nafanya ozo ishu ingawa ndo naanza nna gari chache tu hii ni biashara nzuro sema inataka umakini zaidi pale unapotoa gari kwa mtu kutegemeana na maitaji yake na kwa muda gani na kwa matumizi gani, Mfano wanakuja watu wa.mda mfupi siku 2 au wiki humjui hujui anakazo nalo gani mara nyingi sharti dereva awe wangu kama hataki simpi gari wengi washalizwa magari kwa staili kama hizi au kujikuta wanaingia katika mabalaa wasiyotarajia jamaa yangu aliwaigi yoa noah wale jamaa walienda beba wasomali mwisho wa siku walikamatwa wakakimbia msala ukabaki kwa mwenye gari.
ni nzuri sana kama ukipata tenda ya kubrba stuff labda au kuna makampuni yanaitaji magari ya kukodisha ambayo huingia mkataba mrefu miezi 3 kiasi kwamba unawezaenda chukuaa magari kwa watu so ni kua makini sana tafta tenda hasa ndo hazina presha