Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wajasiriamali Wenzangu
Naomba msaada wenu, nahitaji kuanza biashara ya kukodisha Mitambo yaani niwe na mitambo yangu niwakodishe watu. Lengo la kuweka uzi huu hapa kwenu nikuomba ushauri wa mitambo ipi hasa mngenishauri ndugu yenu niweze kuifanyia kazi, kwa mfano kuna mitambo kama hii

- Mitambo ya kuchimbia Visima
- Mitambo ya Kukorogea Zege
- Folk Lifts
- Matrekta
- Kijiko
- Grader
- N.k