Bei poa stationery
New Member
- Sep 24, 2026
- 3
- 4
Kupata kibali inakuhitaji ue na atleast ml 20 kwenye akaunt yako uanze na brela kisha tra ndio uende bot na kwa sasa vbali vnachukua muda kutoka kutokana na sheria zilizoboreshwa ikiwa n prof za kuonyesha chanzo cha iyo pesa yako ni nn na wap.. mambo ni mengi kama ukipata wa kuingia nae makubaliano utumie leseni yake ni jambo jema.. Mim yakwangu nimepata mwaka huu mwanzoniAsante kwa hints, mm tayari nina lesseni ya biashara lakn syo biashara ya kukopesha nilitaman nipate leseni ya kukopesha sjui ndyo kibali. Hcho cha kukodi kwa mtuu ndo nilikuwa nataka chakwangu. Afu risk kubwa kwa uzoefu wako ni zipi share kama inawezekana.
Asante vipi wewe uko wapi mm nipo dar tufanye biashara kama inawezekanaKupata kibali inakuhitaji ue na atleast ml 20 kwenye akaunt yako uanze na brela kisha tra ndio uende bot na kwa sasa vbali vnachukua muda kutoka kutokana na sheria zilizoboreshwa ikiwa n prof za kuonyesha chanzo cha iyo pesa yako ni nn na wap.. mambo ni mengi kama ukipata wa kuingia nae makubaliano utumie leseni yake ni jambo jema.. Mim yakwangu nimepata mwaka huu mwanzoni