Habari wadau,
Naomba kujua taratibu za mimi kuanza kukopesha pesa kwa watu kwa dhamana na rejesho kwa riba. Mpango ni kuanza local tu bila kampuni, hii kitu inawezekana na ina wateja??
Mi naifanya Riba 20% kwa mwezi mmoja tu nakopesha.. tunaandikishiana but issue ya corrateral bado ni changamoto so nadeal na watu nnaowajua mostly na watu wao wa karibu... inaripa as hakuna much risk na stress!!