Biashara ya kukopesha pesa kwa dhamana

Biashara ya kukopesha pesa kwa dhamana

Benzoic

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
421
Reaction score
149
Habari wadau,
Naomba kujua taratibu za mimi kuanza kukopesha pesa kwa watu kwa dhamana na rejesho kwa riba. Mpango ni kuanza local tu bila kampuni, hii kitu inawezekana na ina wateja??
 
Achana na hiyo biashara itakupa stress bure. Wabongo wengi hawalipi utajutia mtaji wako.NOTE my words.
 
Lazima uwe mbabe katika kudai fedha yako pomoja na hiyo riba,
 
Inalipa kama una mtaji, pia deal na wafanya kazi wa serikali.
 
Mi naifanya Riba 20% kwa mwezi mmoja tu nakopesha.. tunaandikishiana but issue ya corrateral bado ni changamoto so nadeal na watu nnaowajua mostly na watu wao wa karibu... inaripa as hakuna much risk na stress!!
 
Back
Top Bottom