Nilifanya shughuli hiyo wkt nipo moro ila mm mwenyewe niliacha kwa sababu eaten a wangu alikuwa wanavaa na pesa ya maji muda mrefu hivi kupelekea kwanza kutumia kimtaji kwani mm nilijua nina wateja maalum nawapelekea sio haya wa rejareja ila ni biashara inayolipa sana kama utawekeza nguvu zako zote nadhani muda mfupi tuu mbele utaanza kutumwagia maji barabarani sisi watembea kwa miguu na gari yako
So nilipumzika nkaja Dar kuanza channel mpya ya maisha kwa kazi nyingine ila nitairejea hiyo biashara hapo mbeleni kwa sasa maswala ya kifamilia yamenibana na si unajua nipo mkoa mpya kwangu inabidi nijipange upya ila hiyo biashara inalipa tena upate mteja anayelipa keshi hata kwa kila kuku mmoja update taifa ya 3000 ni nyingi sana kama mzigo inaisha kwa wakati.
Mimi mzigo nilikuwa nachukua dunia pale njia panda ya kwenda dodoma na kilosa jirani kitu cha forodha tra hapo kila siku asubuhi wakulima wanaleta kuku ila nakupa angalizo usije kununua kuku kwa dalali watakupiga bei ukimona mkulima anakupa na tena lake kufanya kumgombania kama mpira wa kina ww pamoja na madalali lkn ukiwa legelege ukiwaacha dallah wanunue ndo wakuuzie hutoona taifa na sehemu nyingine ni gairo hapo nnayo hadi namba ya mtu aliyekuwa ananiletea mzigo na mnakubaliana kwa bei nzuri tuu mnafanya biashara.NB. usije kunua kwa madalali ni walanguzi na watakuumiza