Biashara ya kuku wa kienyeji

Biashara ya kuku wa kienyeji

Political stability

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
906
Reaction score
1,401
Nataka nianze biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoa tofauti tofauti na kuwauza Dar es salaam.

Naomba mnipe mbinu mbali mbali za kufanya biashara hii, haswa upande wa masoko, na bei ya kuuzia.

1627028025582.png

Nataka nianze biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoa tofauti tofauti na kuwauza dar es salaam

Naomba mnipe mbinu mbali mbali za kufanya biashara hii, haswa upande wa masoko, na bei ya kuuzia
Tafuta Banda lako mwenyewe sehemu ambayo unahis pamechangamka, au soko lolote, ukifuata unauza mwenyew, usimpe mtu auze then eit akupe pesa, kudhurumika ni dakika tu.

Ni biashara nzur sana hasa ukipata oda mahotelin. Chagua kuku wakubwa. Majogoo na majike. Usichukue wengi sana at least wawe 50 - 70.

Kuku huwaga wanachoka ukiwaweka bandani. Kuku wanaopendeka ni wa Tabora na Singida. Chukulia kuku Manyoni, Tula au Nzega. Kuku wa Tabora na Singida n wazito, wa Dodoma n wepesi sana, wa maeneo ya Pwan na Morogoro n wadogo wadogo sana.

Kila la kheri.
 
Tafuta Banda lako mwenyew sehem ambayo unahis pamechangamka, au soko lolote, ukifuata unauza mwenyew, usimpe mtu auze then et akupe pesa, kudhurumika ni dakika tu. Ni biashara nzur sna hasa ukipata oda mahotelin. Chagua kuku wakubwa. Majogoo na majike. Usichukue wengi sana at least wawe 50 - 70. Kuku huwaga wanachoka ukiwaweka bandani. Kuku wanaopendeka n wa Tabora na Singida. Chukulia kuku mnyoni, tula au nzega. Kuku wa tabora na singine n wazito, wa dodoma n wepesi sana, wa maeneo ya pwan na morogoro n wadogo wadogo sana. Kila la kheri.
Bila shaka umempatia muongozo mleta mada
 
Mkuu shukrani sana, vipi kuku wa Tanga?
 
Vipi upande wa bei ya kununulia kule shambani, vipi changamoto za madalali huko shamba.. Nisije nikapigwa
 
Mkuu shukrani sana, vipi kuku wa Tanga?
Tanga kuku wanapatikana handeni, ni wazuri pia jitahid ku point kuku wakubwa, usiogope hata wakisimamia 14 - 15 watakulipa tu coz utauza 20 - 30.

Kwa kuanza unaweza changanya na wadogo ziwe znasimamia 10-13 coz utakuwa na changamoto ya wateja mwanzon. Bt kuku wakubwa wanapendwa sana.
 
Vipi upande wa bei ya kununulia kule shambani, vipi changamoto za madalali huko shamba.. Nisije nikapigwa
Nenda siku ya mnada, kuna wale wafanya biashara wanaotoaga vijijin wewe ndio utaongea nae, huwaga wanauzaga kwa jumla sasa anaweza kukupiga coz atakuchomekea na vidogo vdogo ambavyo utavinunua kwa bei ya juu, sasa wewe mwambie mi nataka ku sot utaje bei yako.

Unaweza ukajitega sehem ukawa unanunua kwa wakulima wanaoleta mnadan pia.
 
Vipi upande wa bei ya kununulia kule shambani, vipi changamoto za madalali huko shamba.. Nisije nikapigwa
Kuku shamba Wana range 5000 - 14 kwa tabora ( japo nna miaka mi 2 sshughulik na hiz issue, yaan hyo 14 n jogoo kubwa la kuuza had 28. Singida wanaenda had 18 (kwa manyon mnadan) dodoma pia almost 16.
 
Back
Top Bottom