Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,401
Tafuta Banda lako mwenyewe sehemu ambayo unahis pamechangamka, au soko lolote, ukifuata unauza mwenyew, usimpe mtu auze then eit akupe pesa, kudhurumika ni dakika tu.Nataka nianze biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoa tofauti tofauti na kuwauza dar es salaam
Naomba mnipe mbinu mbali mbali za kufanya biashara hii, haswa upande wa masoko, na bei ya kuuzia
Bila shaka hii biashara ushaipiga.Tafuta Banda lako mwenyewe sehemu ambayo unahis pamechangamka, au soko lolote, ukifuata unauza mwenyew, usimpe mtu auze then eit akupe pesa, kudhurumika ni dakika tu.
Bila shaka umempatia muongozo mleta madaTafuta Banda lako mwenyew sehem ambayo unahis pamechangamka, au soko lolote, ukifuata unauza mwenyew, usimpe mtu auze then et akupe pesa, kudhurumika ni dakika tu. Ni biashara nzur sna hasa ukipata oda mahotelin. Chagua kuku wakubwa. Majogoo na majike. Usichukue wengi sana at least wawe 50 - 70. Kuku huwaga wanachoka ukiwaweka bandani. Kuku wanaopendeka n wa Tabora na Singida. Chukulia kuku mnyoni, tula au nzega. Kuku wa tabora na singine n wazito, wa dodoma n wepesi sana, wa maeneo ya pwan na morogoro n wadogo wadogo sana. Kila la kheri.
Mkuu shukrani sana, vipi kuku wa Tanga?Tafuta Banda lako mwenyew sehem ambayo unahis pamechangamka, au soko lolote, ukifuata unauza mwenyew, usimpe mtu auze then et akupe pesa, kudhurumika ni dakika tu. Ni biashara nzur sna hasa ukipata oda mahotelin. Chagua kuku wakubwa. Majogoo na majike. Usichukue wengi sana at least wawe 50 - 70. Kuku huwaga wanachoka ukiwaweka bandani. Kuku wanaopendeka n wa Tabora na Singida. Chukulia kuku mnyoni, tula au nzega. Kuku wa tabora na singine n wazito, wa dodoma n wepesi sana, wa maeneo ya pwan na morogoro n wadogo wadogo sana. Kila la kheri.
Vipi upande wa bei ya kununulia kule shambani, vipi changamoto za madalali huko shamba.. Nisije nikapigwaTafuta Banda lako mwenyew sehem ambayo unahis pamechangamka, au soko lolote, ukifuata unauza mwenyew, usimpe mtu auze then et akupe pesa, kudhurumika ni dakika tu. Ni biashara nzur sna hasa ukipata oda mahotelin. Chagua kuku wakubwa. Majogoo na majike. Usichukue wengi sana at least wawe 50 - 70. Kuku huwaga wanachoka ukiwaweka bandani. Kuku wanaopendeka n wa Tabora na Singida. Chukulia kuku mnyoni, tula au nzega. Kuku wa tabora na singine n wazito, wa dodoma n wepesi sana, wa maeneo ya pwan na morogoro n wadogo wadogo sana. Kila la kheri.
Tanga kuku wanapatikana handeni, ni wazuri pia jitahid ku point kuku wakubwa, usiogope hata wakisimamia 14 - 15 watakulipa tu coz utauza 20 - 30.Mkuu shukrani sana, vipi kuku wa Tanga?
Nenda siku ya mnada, kuna wale wafanya biashara wanaotoaga vijijin wewe ndio utaongea nae, huwaga wanauzaga kwa jumla sasa anaweza kukupiga coz atakuchomekea na vidogo vdogo ambavyo utavinunua kwa bei ya juu, sasa wewe mwambie mi nataka ku sot utaje bei yako.Vipi upande wa bei ya kununulia kule shambani, vipi changamoto za madalali huko shamba.. Nisije nikapigwa
Kuku shamba Wana range 5000 - 14 kwa tabora ( japo nna miaka mi 2 sshughulik na hiz issue, yaan hyo 14 n jogoo kubwa la kuuza had 28. Singida wanaenda had 18 (kwa manyon mnadan) dodoma pia almost 16.Vipi upande wa bei ya kununulia kule shambani, vipi changamoto za madalali huko shamba.. Nisije nikapigwa
Ameupiga mwingi hatariChinga ashamaliza kila kitu
Ameupiga mwingi hatari
Kukuwatanga hawafai, hata kuparua hawajui wanataka kulishwaaMkuu shukrani sana, vipi kuku wa Tanga?
Hawafai hata kwa nyama? Nataka wa kuuzaKukuwatanga hawafai, hata kuparua hawajui wanataka kulishwaa
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app