Biashara ya kuku wa kienyeji

Biashara ya kuku wa kienyeji

okyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,003
Reaction score
1,507
Habari zenu wanajukwaa...
Kwanza kabisa ninapenda kuwapa pole kwa majukumu ya hapa na pale kutokana na mihangaiko ya kuweza kujikwamua na huu umasikini

Mi ni mjasiriali na nina ndoto nyingi sana kwenye maisha katika tembea tembea zangu nikaona hii fursaa ya kuuza kuku wa kienyeji na kwa kweli nilivutiwa nayo kwa kiasi kikubwa tu.

Sasa mambo ya msingi ambayo ningependa kushare na wajasiriamali wenzangu hapa jukwaani maana naamini kuna watu wenye uzoefu wa kutosha humu ndani kupitia wao naweza jua wapi naweza anzia ili niweze fanikisha hili jambo,

Yafuatayo ndo mambo ambayo ningependa wanajukwaa mnisaidie ili niweze fanikisha ili jambo
1: Ni wapi naweza pata soko la uhakika la kuku wa kienyeji kwa dar es salaam
2:Gharama za uaafirishaji zikoje mana kuku hao nataka nikawachukue singida na morogoro
3:Je kuna gharama zozote wakati wa kusafirisha nikimaanishi kodi
4:Nina hitaji mtaji wa shilingi ngapi ili niweze tekeleza huo mradi

Wanabodi nakaribisha mawazo yenu
 
wadau nasubiri mawazo yenu wale wenye uzoefu
 
Back
Top Bottom