batamzinga
Member
- Oct 23, 2012
- 35
- 26
Kwa wenye uzoefu kwenye fani hii, naomba mnipatie makisio ya gharama za kufuga kuku wa nyama kama 500 hivi pamoja na breakdown ya Matumizi na faida. Niko tayari kulipia gharama kama kuna mtu anaeweza kunitengenezea business plan iliyokamilika