Entreprenuare JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,616 Reaction score 1,727 Mar 6, 2020 #1 Wakuu habari Natarajia kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoani na kuja kuwa uza hapa DSM. Ni mgeni kwenye hii business, kwa watu wenye uzoefu naomba mnijuze soko lipo wapi kwa hapa DSM. Kama nitapata wateja wa jumla, itakuwa vizuri zaidi ili mzigo usikae sana. Karibuni Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakuu habari Natarajia kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoani na kuja kuwa uza hapa DSM. Ni mgeni kwenye hii business, kwa watu wenye uzoefu naomba mnijuze soko lipo wapi kwa hapa DSM. Kama nitapata wateja wa jumla, itakuwa vizuri zaidi ili mzigo usikae sana. Karibuni Sent from my iPhone using JamiiForums
Damian J Ntundagi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2017 Posts 1,652 Reaction score 2,355 Mar 23, 2020 #2 Vipi ushaanza hiyo biashara
Manton JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 1,163 Reaction score 1,523 Mar 23, 2020 #3 Anza kwanza, ukutane na madalali upate hasara kidogo, ujifunze kazi, maisha yaanze upya.
Damian J Ntundagi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2017 Posts 1,652 Reaction score 2,355 Mar 23, 2020 #4 Madalali sio watu wazuri kabisa afu ukiwagomea huuzi nahisi wanatumiaga mizizi Manton said: Anza kwanza, ukutane na madalali upate hasara kidogo, ujifunze kazi, maisha yaanze upya. Click to expand...
Madalali sio watu wazuri kabisa afu ukiwagomea huuzi nahisi wanatumiaga mizizi Manton said: Anza kwanza, ukutane na madalali upate hasara kidogo, ujifunze kazi, maisha yaanze upya. Click to expand...
mawazo haba Senior Member Joined Oct 16, 2015 Posts 190 Reaction score 373 Mar 29, 2020 #5 Unatoa mkoa gani mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
Entreprenuare JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,616 Reaction score 1,727 Mar 29, 2020 Thread starter #6 mawazo haba said: Unatoa mkoa gani mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Singida Sent from my iPhone using JamiiForums
mawazo haba said: Unatoa mkoa gani mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Singida Sent from my iPhone using JamiiForums
donpier91 JF-Expert Member Joined Sep 15, 2016 Posts 440 Reaction score 368 Mar 29, 2020 #7 Kauzie dodoma,dar mbali sana Entreprenuare said: Singida Sent from my iPhone using JamiiForums Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Kauzie dodoma,dar mbali sana Entreprenuare said: Singida Sent from my iPhone using JamiiForums Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,956 Reaction score 14,032 Mar 29, 2020 #8 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] donpier91 said: Kauzie dodoma,dar mbali sana Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] donpier91 said: Kauzie dodoma,dar mbali sana Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app