Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Wakuu habari
Natarajia kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoani na kuja kuwa uza hapa DSM.
Ni mgeni kwenye hii business, kwa watu wenye uzoefu naomba mnijuze soko lipo wapi kwa hapa DSM.
Kama nitapata wateja wa jumla, itakuwa vizuri zaidi ili mzigo usikae sana.
Karibuni
Sent from my iPhone using JamiiForums