kama soko lako umelenga dar think twice ,mji huu una wajanja wengi mahotelini wanatupikia kuku wa mayai waliomaliza muda wao wa kutaga wanatudanganya kuwa ni kuku wa kienyeji,kumbuka kuku wa mayai akishakomaa anakuwa na mifupa na nyama ngumu kama wa kieneyeji,ni sie tuliokulia bush tunajuaofauti ya radha yake ,wale wa masaki ukiona mfupa wa mgumu ujue umepigwa ,kwa nini wanafanya hivyo,to maximise profit kuku wa kuienyeji anaanzia elfu kumi,wa mayai unapata kwa elfu sita mpaka saba ,why should i buy hayo makuku yako ya kienyeji