Biashara ya Kuku

Biashara ya Kuku

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habarini wadau

Kijana wenu nataka kua mjasiria mali.Nataka nianze ku supply kuku wa kienyeji kuku wa nyama katika mahoteli na migahawa mbalimbali.Point;Sitaki kuwa mfugaji bali nataka nikusanye kuku mikoani na kuwauza sehemu husika.
Ninachoomba kusikia kutoka kwako ni challenges za biashara hii.Na kwa mwenye ujuzi kidogo twaweza share hapa.

Nawasilisha.
 
Mkuu unaishi mkoa gani?

Target market yako si ya kitoto ujue, unahitaji kufanya research kwanza ili ujue competitors wako ni akina nani na wanafanya biashara hiyo katika mazingira gani!

Ninavyojua kwa mkoa wa Singida, kati kati mwa Tanzania ndipo hawa ndege wanakotolewa kwa wingi sana! Hivyo basi inabidi ujiandae haswaa katika masuala kama:
  • storage ya kuku
  • Malisho ya hao kuku wakisubiri supply
  • madawa mbali mbali ambayo yatatumika kwa ajili matibabu, mabadiliko ya mazingira yanaweza athiri kuku
Mengineyo utayapata kwa wadau...
Excel.
 
Last edited by a moderator:
Kufuata kuku mbali na unakofanyia biashara haitakulipa. Riski pia ni kubwa. Nakushauri kama una eneo la kutosha na muda, fuga mwenyewe utapata faida nzuri. Lakini unataka kufanyia wapi hii biashara?
 
Nami naomba kujua mambo muhim katika ifugaji wa kuku kitaalam ili nipate faida nataka niwekeze katka ufugajii
 
Nami naomba kujua mambo muhim katika ufugaji wa kuku kitaalam ili nipate faida nataka niwekeze katka ufugajii wa kuku!
 
kama soko lako umelenga dar think twice ,mji huu una wajanja wengi mahotelini wanatupikia kuku wa mayai waliomaliza muda wao wa kutaga wanatudanganya kuwa ni kuku wa kienyeji,kumbuka kuku wa mayai akishakomaa anakuwa na mifupa na nyama ngumu kama wa kieneyeji,ni sie tuliokulia bush tunajuaofauti ya radha yake ,wale wa masaki ukiona mfupa wa mgumu ujue umepigwa ,kwa nini wanafanya hivyo,to maximise profit kuku wa kuienyeji anaanzia elfu kumi,wa mayai unapata kwa elfu sita mpaka saba ,why should i buy hayo makuku yako ya kienyeji
 
Back
Top Bottom