masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Bora huipte iyo ten unalipwa elfu 3 meingne mume ayupo mwingne kajifungia ndani...Usifanye hii kazi wananchi ni wagumu sana kulipa utakuta nyumba ina vyumba kumi wote wanazalisha taka halafu unalipwa elfu kumi
Wakuu salaam,
Kwa ambaye ana ufahamu na hii biashara, naomba muongozo na sio kwa kutumia gari ni kwa kutumia trecta.
Naomba mchanganuo na kwa kifuli nini cha kuanzia.
Sina kampuni.