Biashara ya kukusanya takataka viunga vya jiji la Dar kwa kutumia trecta

Biashara ya kukusanya takataka viunga vya jiji la Dar kwa kutumia trecta

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Wakuu salaam,
Kwa ambaye ana ufahamu na hii biashara, naomba muongozo na sio kwa kutumia gari ni kwa kutumia trecta.

Naomba mchanganuo na kwa kifuli nini cha kuanzia.

Sina kampuni.
 
Mie cjaelewa nani atakuwa boss wako na nani atakuwa mteja wako?
Mfano boss wako ( aliyekupa tenda ya UKUSANYAJI taka zilizozagaa ambazo hukusanywa na manispaa?)
Mteja wa ni wakazi( kaya), wafanyabiashara( fremu, bar & hostels)
Au mazingira( barabara, maeneo ya fukwe na bustani)

Ukipata majibu haya tunaweza kukudadvulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usifanye hii kazi wananchi ni wagumu sana kulipa utakuta nyumba ina vyumba kumi wote wanazalisha taka halafu unalipwa elfu kumi
 
masai dada,
Chakwanza nitafute nikuuzie Mfumo wa ukusanyaji taka ambao utakusaidia katika kazi yako. Waulize greenwaste, technowaste pia nimewauzia mfumo huo.
 
Wakuu salaam,
Kwa ambaye ana ufahamu na hii biashara, naomba muongozo na sio kwa kutumia gari ni kwa kutumia trecta.

Naomba mchanganuo na kwa kifuli nini cha kuanzia.

Sina kampuni.

Biashara hii ni nzuri lakini sijajua mlipaji wako atakua nani maana shida inaanzia hapo ikiwa direct wananchi ndio wanakulipa inasumbua sanaa
 
Back
Top Bottom