Biashara ya kunenepesha ng'ombe kuuza

Issue ya kutengeneza pesa ni pana! Ndo maana kuna wanaopata pesa ndefu zaidi yako, ila wako kimya,au wanakubeza! Kuna kitu kiuchumi tunaita RIR /RRI (Rate of Return to Investment) , yaani kwa kifupi ni uwiano wa shilingi unayowekeza kwa faida utakayopata. Yawezekana ungetuwekea mchanganuo wa kifedha wa biashara yako tungekushauri vinginevyo na baadae ukajipima.
 
Issue ya vibali vya kusaifirisha nje ya nchi process ikoje mkuu?
 
Issue ya vibali vya kusaifirisha nje ya nchi process ikoje mkuu?
Vibali :
1. Export licence
2. Export livestock Health and Movement permit
na ulipe fee kwa kila mnyama.
3. Tanzania Meat Board Registration certificate
4. Invoice with common bank account to clarify the transactions
 
Mkuu thanks a lot. So number 1-3 zote zinapatikana Wizara ya Kilimo na Mifugo? Meat board nao bado wanahusika japo unasafirisha wanyama hai na si nyama?
 
I love cows, i love keeping them, i love their business, not only that my favourite foods are meat and milk. One yes!

I also do and we have too sidhani kama tuna-option nyingine. Everything from them ni mali mpaka kinyesi.
 
Mkuu thanks a lot. So number 1-3 zote zinapatikana Wizara ya Kilimo na Mifugo? Meat board nao bado wanahusika japo unasafirisha wanyama hai na si nyama?
Thanks too! No 1 to 3, need not to trot too far, communicate to Zonal Vet Offices. I'm now retired from that bussiness,but still hope no change in that formality.
 
Thanks too! No 1 to 3, need not to trot too far, communicate to Zonal Vet Offices. I'm now retired from that bussiness,but still hope no change in that formality.

Thanks tena mkuu!
 
Ni kweli, wote hatuwezi kuwa sawa kuna mwingine akipata million 2 kwake ni hela nyingi sana , ila kwa wa upande wa pili si chochote, so ni level tu za maisha na mahitaji ya mtu binafsi,
 
Ni kweli, wote hatuwezi kuwa sawa kuna mwingine akipata million 2 kwake ni hela nyingi sana , ila kwa wa upande wa pili si chochote, so
ni level tu za maisha na mahitaji ya mtu binafsi,
Maoni mazuri,waliofanikiwa zaidi,walianza kidogokidogo kama wewe,endelea kujiimarisha.
 
Mkuu hapo me ninachoomba ni kujua ni kwa namna gani au mchanganyiko wa vyakula gani vinaweza kusaidia kunenepesha mifugo.
 
Ndugu,kama kuna ukame,naye mtoa post kasema unawachunga miezi miwili wananenepa! Loh! hii ikoje? Au majani yataota kwa vile unataka faida? Nahisi kuna mahali hujaeleza vizuri kuhusu kitu kinaitwa "Vyakula vya Ziada" hasa kipindi cha kiangazi.
Hapo inabidi ujiongeze mwenyewe. Ng'ombe halishwi kwa majani au kuchunga tu. Ukitaka kufahamu mbinu za kunenepesha ng'ombe kwa muda mfupi, muone mtaalamu wa mifugo aliye karibu nawe.
 
Mkuu hapo me ninachoomba ni kujua ni kwa namna gani au mchanganyiko wa vyakula gani vinaweza kusaidia kunenepesha mifugo.
Hii ni story ndefu na ya kitaalamu. Ila, kwa kifupi, na ili kukusaidia nijibie maswali haya,kabla sijaendelea na story
1. Hapo ulipo, kuna mazao gani yanalimwa kwa wingi?
2. Kuna viwanda vinavyosindika mazao hayo? Na ni mazao yapi husindikwa
3. Kama hakuna viwanda, kuna maduka ya vyakula na dawa za mifugo karibu na unakofanyia ufugaji?
 
Hii biashara in nzuri sana kama MTU atakuwa anaifanya serious. Kenya yupo baba ananebepesha ngombe 400kwa mwaka. Kwa nini Tanzania tunashindwa? Wenzetu wakenya wapo mbali sana .MTU mmoja anamiliki ngombe wa maziwa 200 kwa siku anakamua mpaka Lita 1500 .we have to think outside the box.
 
Kwenye issue ya ngombe wa Maziwa,Tz wapo wanaozidi hao 200, na wanatoa maziwa zaidi. Kama lita 1500 kwa ngombe 200 means, Lita 7.5 kwa ngombe kwa siku which is very low.
Issue ya unenepeshaji Tz bado kwa sababu kuu mbili 1. Soko la nyama bora halijaimarika! Nyama mbaya na nzuri bei ni moja. 2. Porojo nyingi ktk sekta ya viwanda vya nyama,si vya watu binafsi,wala serikali. Kenya wana kitu kinaitwa KMC,ambacho ni chombo madhubuti kusimamia taratibu na uzalishaji nyama! Wako na experience ya kutosha. Tujifunze kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…