mkoba mweupe
Senior Member
- Feb 25, 2017
- 119
- 190
Virutubisho vya nguruwe unamaanisha nini?Niliona kuku wanapewa virutubisho vya nguruwe🥹
Inaitwa booster ya nguruwe wanapewa kuku wanakua wakubwaa wanene ila ni special kwa nguruweVirutubisho vya nguruwe unamaanisha nini?
Ni ingredients zipi
Ingredients za pig boosterInaitwa booster ya nguruwe wanapewa kuku wanakua wakubwaa wanene ila ni special kwa nguruwe
Naifanya hii kazi, Kahama na Ikunzi Runzewe.BIASHARA YA KUNENEPESHA NG’OMBE,MBUZI NA KONDOO KISHA KUWAUZA ( CATTLE AND GOAT FEEDLOTS
Habarini wana Jamvi naomba kushare hili jambo kidogo tupate elimu,ushauri na changamoto zake.
Kuna Hii biashara ya kunenepesha Mifugo hasa ng’ombe na Mbuzi Kisha kuwauza nasikia inalipa sana na inafaida sana Kama utakuwa uko serious na kufuata formula sahihi ya chakula na virutubisho sahihi kwa ajili ya kunenepesha mifugo .
Baada ya hapo unawapiga bei ndefu na yenye faida
Kuna mzee mmoja yupo Kilosa alikuwa rafiki yangu sana yeye alikuwa ananunua NG’OMBE waliokonda kipindi cha kiangaz anawatibu kisha anawipigisha msosi wa maana wakinenepa anawauza kwa faida.
Kwa anaeifahamu vizur hii biashara naomba atupe madini Mazee tumechoka kuajiriwa na kusubiri mwisho wa Mwezi 🤣🤣
Usifanye biashara kwa kufata mkumbo hio ni principal no one.
Niliona kuku wanapewa virutubisho vya nguruwe🥹
Mkuu kama huna eneo la kutosha usithubutu, cattle are heavy feeder. Badala ya kunenepesha utawakondesha zaidi.
HapanaHaina madhara kwa kuku?
Ng'ombe ni mnyama mmoja uneconomical sijui binadamu kwanini alipendekeza aliwe commercially. Ng'ombe alifaa alimie tu na kufugwa nyumbani kishkaji sio kibiashara. Mwenzake kuku vilevile.Mkuu kama huna eneo la kutosha usithubutu, cattle are heavy feeder. Badala ya kunenepesha utawakondesha zaidi.