Biashara ya kunenepesha ng’ombe,mbuzi na kondoo kisha kuwauza

Muulize bashe, biashara yake tangu 2010 huko,sasa hivi ana ranch
 
Na hio pig booster mostly wanapewa kuku aina ya broiler ili kuongeza kasi ya ukuaji na kuamsha appitate isio ya kawaida na kuwafanya kuku kufukia uzito stahiki kwa wakati sahihi.

Cc ephen_
Mkuu hiv ni pig booster ipi?
Au ni Premix ile ya nguruwe....nidadavulie tafadhari, na mie nifanya ma unenepeshaji hapa.
 
Kuna mzee mmoja yupo Kilosa alikuwa rafiki yangu sana yeye alikuwa ananunua NG’OMBE waliokonda kipindi cha kiangaz anawatibu kisha anawipigisha msosi wa maana wakinenepa anawauza kwa faida.
Ume acha kumuuliza uyo Mzee upate madini unakuja uku kuuliza uko sawa bwana mdogo?
 
Hebu muone mzee ambaye ni rafiki yako akupe madini.
 
hii ni biashara nzuri sana mkuu ukiwa upo serious
Mana huku kwetu wamasai na watu wengine wanafanya sana
Lakini wengine huchukua pesa benki kama 10milion au zaid wakitoka hapo wanaenda kununua ngombe wa 9m na kubaki na 1m
Kila ng'ombe ananunuliwa lak 5 kwahyo unakuwa na 18 madume yote
1m iliyobaki unakodia shamba kama 10 eka kwa kila moja ni 30 elfu.
Unabakiwa na 7lak hyo ndo utakuwa unanunua madawa pumba na vitu vdg vdg
Baada ya miez 4-6 watakuwa tayari wamenenepa kabsa na kil mmoja atakuwa na 900k-1100k kwahzo faida ipo mkuu
From my experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…