Biashara ya kununua choroko Masasi inalipa. Karibuni mnaotaka kufanya biashara hii

Tonnyodiero

New Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Habari wadau,

Mimi nipo Masasi Mjini na kwa muda huu ndo msimu wa choroko umeanza. Jamani, kama kuna mdau yeyote anataka kununua choroko kwa bei poa aje. Choroko zinalipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Funguka vizuri mkuu. Zinalipa kivipi? soko lake likoje? bei ya kuuza na kununua ipoje? unauza ndani au nje ya nchi mkuu? Embu funguka kwa undani zaidi man.
 
Mkuu hujaona juzi ma tani ya hizo bidhaa yaliotafishwa Mwanza, wewe ni vyama vya ushirika? wambie hao wakulima wakawakopeshe vyama vya ushirika ndio sharia.
 
siku hizi choroko,dengu, zinanunuliwa kupitia vyama vya ushirika tu,kuna kuwa na mnada kama wa korosho,ukinunua bila kufuata utaratibu huo mzigo utataifishwa.ni mwendo wa wakulima kukopwa tu,juzi wilaya ya magu mkoani manza mzigo wa karibia milioni 80 umetaifishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…