Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
Karibu Sharjah hata ukitaka meli nzima ya engine utapata
Ni biashara nzuri sana,lakini si Japan wala Dubai hayo mambo yanapatikana Sharjah ambayo ni moja ya miji saba inayounda United Arabs Emirates,Ili kupata idea ya bei jaribu kupiga +97165328133 au alabeerauto@yahoo.com sina uhakika wa website lakini ukiandika alabeer auto utasikia mambo yake,usafirishaji ni cheap na kodi ni ndogo,meli ikitoka Emirates leo ndani ya siku kumi mzigo upo Dar.