Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
Habari wakuu!,Ni hv naomba kwa wale wenye uzoefu wa kuingiza Engine Used nchini,Hasa nahitaji kujua mambo haya;
1;Ni nchi gani hasa engine zipo cheap Japan au Dubai?
2:Kila Engine inagharimu kiasi gani hadi inafika nchini hasa Engine za 2L,3L,1kz.
3:Ni vipi unaweza kuzihakiki kama Engine zipo katika condition nzuri,sababu kuna Engine used nimeshuhudia baada ya kufungwa zinakula oil.
4:Mtaji kwa kuanzia biashara hii
Shukrani kwa wale wataochangia mada hii.