Biashara ya Kununua Kahawa

Biashara ya Kununua Kahawa

Mzee Wa Kale Kabisa

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2018
Posts
2,621
Reaction score
4,322
Nahitaji kuingia kwenye hii biashara ya zao la kahawa... Yani ninunue then nije kuuza baadae wanasema wanauza kwenye ushirika kwa kule Mkoa wa Ruvuma! Mwenyw ABC au uzoefu wa hii ishu afanye msaada wa kufunguka. Natanguliza shukrani 🙏🙏🙏
 
Please mwenye tips ebu tupe maana ata Mimi nataka nifanye biashara ya kahawa [emoji846]
 
Kahawa ni zao nyeti kwa hiyo lina sheria na taratibu zake. Lazima uwe na kibali local roastery na export ili uweze kununua na kuuza kahawa. Kama uko serious nitafute nikuunganishe na mtaalam
 
Back
Top Bottom