Nahitaji kuingia kwenye hii biashara ya zao la kahawa... Yani ninunue then nije kuuza baadae wanasema wanauza kwenye ushirika kwa kule Mkoa wa Ruvuma! Mwenyw ABC au uzoefu wa hii ishu afanye msaada wa kufunguka. Natanguliza shukrani πππ
Kahawa ni zao nyeti kwa hiyo lina sheria na taratibu zake. Lazima uwe na kibali local roastery na export ili uweze kununua na kuuza kahawa. Kama uko serious nitafute nikuunganishe na mtaalam